Kwa maoni na ushauri wasiliana nasi kupitia kilimanjarofc@gmail.com

FC KILIMANJARO

Wednesday, 29 May 2013

LIVERPOOL



WINGA WA FC PORTO AKARIBIA KUTUA LIVERPOOL



                                                                  CHRISTIAN ATSU

Premier League club had tabled a bid for Atsu and it is understood that Liverpool are the team in question.
Talks are thought to be continuing between the Reds and Porto as Brendan Rodgers' side look to win the race for the Ghana international.
However, Liverpool could face competition from Premier League rivals Everton and Arsenal for the highly-rated attacker.
Everton are thought be interested in Atsu especially if current Porto boss Vitor Pereira replaces David Moyes at Goodison Park, while Arsenal are also keeping tabs on the African's situation.
Atsu has found himself out of favour at Porto in recent months after refusing to sign a new deal at Estadio do Dragao.
The 21-year-old, who sees his current contract expire next summer, has continually rejected offers to extend his deal due to Porto's insistence to try and increase his release clause to €30m (£24million).
Atsu, who has previously expressed his desire to play in England, is expected to make a decision on his future once he plays for Ghana in their upcoming games against Kenya, Sudan and Lesotho next month.

WEST HAM KUPANUA UWANJA





WEST HAM BOARD MEMBERS


Plans for the conversion of the Stratford site to a 54,000 all-seater stadium were ratified at a Planning Committee meeting on Tuesday evening.
The plans include the installation of retractable seating on all four sides of the stadium to bring the fans closer to the pitch and a transparent roof.
"This is another key milestone on our journey to Stratford and my Board and I are delighted with the decision," vice chairman Karren Brady told the club's official website.
"We always knew that the innovative plans for the Olympic Stadium could create a globally-recognised football stadium and we were confident that planning permission would be granted to allow the conversion work to begin.
"For me and my team the hard work is only just beginning. This is an incredible opportunity to create a world-class stadium for West Ham supporters that will exceed their expectations and the chance to really deliver a lasting legacy for London."

                         B

Saturday, 25 May 2013

Friday, 24 May 2013

PROUND OF FC KILIMANJARO




PROUD OF FC KILIMANJARO AND WE STILL  MOVING FORWARD






KALI ONGALA


MACHUPPA NA WILLIAM JOHN



                                                                        MACHUPPA



D NDUMBARO, YUSUPH SAID NA ULIMWENGU THOMAS


                                                   
                                               SHEKHANI RASHID



SHEKHAN RASHID

                                                 
                                                      SHEKHAN RASHID



CREDO MWAIPOPO



CREDO MWAIPOPO



                                                   KALI ONGALA NA MACHUPPA



BAKARY MLENGE

                           
                                                               ABBASI


               
                                                             STRICKER     HERI HABIBU



                                          ULIMWENGU,BAKARY, YUSUF NA YUSUPH SAID


                                                          SHEKHAN RASHID NA BAKARY SADDY MLENGE

                                             
                                                      BOBAN MAZOEZINI
                                                     



BOBAN IN ACTION


WILLIAM JOHN


BAKARY SADDY MLENGE


BAKARI MLENGE AND THOMAS ULIMWENGU

                                             
                                                     YUSSUF NKINDA



HARUNA MOSHI 





                                                                        BOBAN

Thursday, 23 May 2013

Wednesday, 22 May 2013


REAL MADRID YAMNYATIA BEKI WA CHELSEA DAVID LUIZ KWA KITITA CHA POUND MILLION 29 KUZIBA NAFASI YA PEPE AMBAYE ANAACHWA MSIMU HUU








 

Bernabeu side see Stamford Bridge defender as ideal Pepe replacement.
Real Madrid are reportedly preparing a summer bid for Chelsea defender David Luiz according to the Daily Express.


MASSIMO CARRERA

KOCHA WA  MASSIMO CARRERA JUVENTUS KWENDA JELA MIAKA MIWILI NA NUSU KWA AJALI ILIYOSABABISHA VIFO VYA WANAWAKE WAWILI




FRANK LAMPARD

FRANKA LAMPARD AFUNGUKA KWAMBA HAKUWA NA WAKATI MZURI CHINI YA KOCHA RAFAEL BENITEZ





LUIS SUAREZ

LIVERPOOL YSEMA
LUIS SUAREZ HAUZWIIIIIII





KOMBE LA DUNIA


KOCHA STEPHEN KESHI WA NIGERIA BADO HAJATANGAZA WACHEZAJI WATAKAO ZIBA NAFAZI ZA WACHEZAJI VICTOR MOSES NA KALU UCHE AMBAO NI MAJERUHI KATIKA MICHEZO YA KUFUZU KOMBE LA UBINGWA WA DUNIA DHIDI YA KENYA NA NAMIBIA





                                                 
                                                        KALU UCHE



VICTOR MOSES



                                           
                                               KOCHA STEPHEN KESHI

UBINGWA WA ULAYA















Tarehe 25 may 2013 ni siku ya fainali  ya ubingwa wa vilabu barani Ulaya ambapo Wajerumani Bayern Munich na Borrusia Dortmund zinakutana ktk fainali, pia Shirikisho la mpira barani  Ulaya  (UEFA) litakuwa lina azimisha miaka 150 ya mashindano hayo ya klabu bingwa bara la Ulaya tangu yalipo anzishwa mwaka 1863, hii inakuwa ni fainali ya 150.

KWA NINI WAJERUMANI WAMEKUA BORA BARANI ULAYA

Bundesliga imekuwa ni ligi  bora barani Ulaya ingawaje kitakwimu za UEFA bado iko nyuma kwa Spain (La Liga) ambayo inaongoza ikifuatiwa na England (Premier league).  Ujerumani sasa imeanza kuvuna matunda iliyopandikiza miaka 14 iliyopita kwa kuacha wazawa tu ndio wachaguliwe kwenye timu yao ya Taifa na kuanza kukaribisha hata wahamiaji, pia kuwekeza kwenye soka la vijana. Dortmund ilitwaa ubingwa huo mwaka 1997 na Bayen ilikuwa nusu dakika kutwaa ubingwa huo mwaka 1999 walipofungwa na Manchester united, Timu ya Taifa ya Ujerumani ilitwaa  Ubingwa wa Mataifa ya Ulaya mwaka 1996 nchini Uingereza na timu ambayo iliundwa na mchanganyiko wa wachezaji kutoka mataifa mengine na hasa Ulaya ya Mashariki. Matokeo hayo mazuri yalikuja baada Mpango mzuri wa makubalino ya malipo ya matangazo ya mechi za Ligi ya nchi hiyo uliofanywa kwa pamoja baina ya shirikisho  la soka la nchi hiyo (DFB), Vilabu shiriki na kampuni ya TV mwaka 1992, uliwezesha vilabu vikubwa  kuanza kulipwa pesa nyingi na  kununua wachezaji wakubwa na wazuri kutoka nje ya Ujerumani  na hivyo baada ya miaka mitano  kuifanya Bundesliga kuanza kuwa na msisimko na ongezeko la wachezaji wa kulipwa nchini humo lilipanda mara mbili toka alsilimia 17 mpaka 34, na hiyo ilileta changamoto kwa wachezaji wa Kijerumani na Kocha wa Taifa wa nchi hiyo wakati huo BERTI VOGTS  alichagua baadhi ya wachezaji ambao hawakuwa wajerumani kiasili kama  Sean Dundee asili yake toka South Africa, Paulo Rink mwenye asili ya Brazil, Kevin Kuranyi, Gerald Asamoah (Ghana).  Sean Dundee aliumia mwaka 1997  na hakuwahi kurudi tena ktk kikosi cha Ujerumani  kama.

Baada ya matokeo mabovu ya kombe la dunia mwaka 1998 ( Kwa kutolewa hatua za robo fainali na Croatia) na yale ya EURO 2000 ambambo pia walifungwa na Waingereza  kwa mara ya kwanza ktk miaka 34, iliwashitua sana Wajerumani,  Ndipo  mwaka 1999 mwezi may  Makamu Mwenyekiti wa Shirikisho la soka la nchi hiyo (DFB)  FRANZ BECKENBAUER, Kocha wa Taifa aliye mrithi Berti Vogts wakati huo  Mr ERICH RIBBECK na Mkuregenzi wa maendeleo ya Vijana wa DFB Mr DIETRICH WEISE  wakaamua kuwekeza ktkt soka la vijana wa Kijerumani kwa kuweka Sheria vilabu vyote vinavyo shiriki  ligi kubwa nchini humo kufungua academies na kuwa na timu za vijana na kuamuru vituo vyote 121 vya michezo nchini humo kuwasaidia  vijana wa umri wa kuanzia miaka 10 mpaka 17  na mazoezi ya kiufundi, pia waliingilia kati sheria ya uhamiaji ambayo iliwanyima vijana wahamiaji kupewa nafasi ktkt vituo hivyo na kuwapendelea wazawa amtokeo ambayo yamezaa matunda na kuleta mafanikio makubwa ktk  soka la nchi hiyo , vitua hivyo vilianza kutoa wachezaji kidogo kidogo na hasa wahamiaji walioingia moja kwa moja kwa timu za taifa za vijana mpaka kubwa  , ODONKOR DAVID, DENNIS AOGO, LUKAS PADOLSK. MIROSLAV KLOSE,SEBASTIAN JUNG, CAUCAU, PIOTR TROCHWSKI, JEROME BOATENG SAMI KHEDIRA, MARKO MARIN, MESULT OZIL na wengineo udhamini wa vituo  vya michezo vya kiserikali unafanywa kwa pamoja na makampuni ya .DEUTSCHE TELCOM. LUFTHANSA,ADIDAS,THE PAULANER BREWER, AUDI,COCA-COLA , SIEMENS, BURGER KING , CONTINENTAL NA SHERATON HOTELS, MERCEDES _ BENZ na VOLKSWAGEN